HIVI SASA NI SAA

TAREHE

Tuesday, December 2, 2008

FAHAMU HISTORIA FUPI YA NELSON MANDELA

MZEE AKIWA KATIKA POZI

ANAVUTA FEGI


DU!!! JAMAA ANAJUA HADI KUSHONA


USIMTANIE ALISHAWAHI KUWA BONDIA


MZEE AKITAZAMA URAIANI,ALIPOFUNGWA KWA MIAKA 27

USHINDI

HII TUZO ALIYEZAWADIWA (TUZO YA AMANI)


AFRIKA KUSINI HIVI SASA ILIVYO

Nelson Rolihlahla Mandera alizaliwa tarehe 18 Julai,mwaka 1918. Ni Rais wa kwanza aliyechaguliwa kidemokrasia Nchini Afrika Kusini. Alikuwa Mwanasheria na mwanachama wa ANC aliyepinga siasa ya Apartheid katika Afrika ya Kusini. Mandera alitumikia kifungo cha maisha kwa miaka 27,kutokana na harakati zake za kupinga ubaguzi wa rangi.
Alifungwa katika kisiwa cha Robben, Baada ya kuachiwa huru mwaka 1990 alianzisha sera ya maridhiano. Mwaka 1993 pamoja na Frederik Willem De Klerk walikuwa washindi wa tuzo ya Nobel ya Aman
YAJUE ZAIDI MAISHA YAKE KWA KUBONYEZA HII WEBSITE:-

No comments: