HIVI SASA NI SAA

TAREHE

Friday, December 5, 2008

TAZAMA ENEO LA BAHARI LILILOTEGEUZWA KISIWA KIKUBWA,KILICHOTUMIKA KUJENGWA MAJUMBA YA KIFAHARI,YANAYOTUMIKA KAMA HOTEL







Hili ni eneo ambalo samaki wamejengewa kwa chini ya hoteli hiyo na huonekana pale mtu anapoingia

MOJA KATI YA HOTELI IKIWA KATIKA UKARABATI


KISIWA HICHO CHA MARAHA KINAVYOONEKANA

MCHORO KABLA YA KUJENGWA

Hotel hii ya Atlantis Palm Jumeirah,imetengenezwa kwa mfano wa mti wa mnazi,katika kisiwa cha kutengenezwa na binadamu katika Jiji la Dubai, Falme za Kiarabu.

Wakati wa ufumbuzi wa hoteli hii watu maarufu na matajiri wapatao 2000 walikaribishwa,na tafrija hiyo iligharimu kiasi cha paundi milion 20.

Wageni hao maarufu walikuwa ni wacheza filamu,wanamuziki,wanamichezo na wanamitindo.Baadhi yao ni nyota wa filamu kama Robert De Niro,Charles Theron,Denzil Washington,Mischa Barton na Lindsay Lohan. Wanamitindo ni Agyness Deyn,Petra Nemcova na Yasmini Le Bon. Wanamuziki walikuwepo Janet Jackson, Lily Allen na Shirley Bassey.Wanamichezo alikuwepo Michael Jordan na Boris Becker.

No comments: