


Omar aliutangazia umma juu ya mpango wake wa kutafuta Amani duniani,alipoojiwa na TV ya Italia,Alikiri kuwa hana Mawasiliano na baba yake tangu maafa ya Septemba 11,na anaamini baba yake hajafa na kama angefahamu kuwa amekufa angetaka Ulimwengu Ufahamu.
Omar pia anasema anatamani sana kukutana na Pope Benedict XVI,lakini aliambiwa kuwa sio rahisi
HAYA NI MAHOJIANO YAKE NA TV YA ITALIA

'' ... We need support and help, '' Omar said. '' All the different religions and nationalities. Any man who want to help, we will tell him ' You are welcome to join us ' and 'Lets us think about howwe can help the world ... ''
His wife added: '' ... This is the message he has been spreading. He's an ambassador for peace - we both are. If we can help save one civilian life through what we're doing,it will be worth it ... ''
KWA HABARI ZAIDI BONYEZA
No comments:
Post a Comment