Hekalu la Artemis lililopo mjini Efeso lilikuwa ni jengo kubwa la kidini lililojukana kote katika mazingira ya Mediteraneo wakati wa Ugiriki na Roma ya Kale.
Hili hekalu lilihesabiwa kati ya maajabu 7 ya dunia,lilijengwa mjini Efeso kwa muda wa miaka 120 kuanzia mwaka 560kk. Mfalme wa Lykia Kroisos alianzisha ujenzi huu,Hekalu lilikuwa na urefu wa mita 115 na upana wa mita 55, nguzo zake zilisimama mita 18
Liliharibika mara kadhaa na kujengwa upya. Mwaka 262 BK liliharibika kabisa wakati wa uvamizi wa Wagodoni. Leo hii kuna nguzo moja tuinayoonekana
No comments:
Post a Comment