ENEO KUBWA LILOJAZWA RANGI NI NCHI YA RWANDA
WATU WA JAMII YA WATUTSI WAKICHEZA NGOMA YAO YA JADI
AINA YA NG'OMBE WATUTSI WANAOFUGA
MAZAO YA WAHUTU
MAZAO YA WAHUTU
Rwanda ilikuwa eneo penye utawala wa Kifalme tangu karne nyingi kabla ya kufika kwa ukoloni. Mwanzo wake ni katika eneo la ziwa la Muhazi. Watawala wenye cheo cha '' MWANI '' kutoka kikundi cha wafugaji (WATUTSI) walisambaa eneo lao tangu miaka ya karne ya 16 BK hadi hadi kufika eneo la leo. Wafugaji wa ng'ombe watutsi walikalia nchi pamoja na wakulima wa kihutu na wavindaji watwaa
IJUE KIUNDANI RWANDA KWA KUBONYEZA HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment