HIVI SASA NI SAA

TAREHE

Monday, December 8, 2008

FAHAMU LEO HISTORIA FUPI YA MARTIN LUTHER





Dr Martin Luther King,Junior alikuwa ni Mchungaji wa Kibaptisti na Mwanahakati mashuhuri kutoka nchi ya Marekani aliyepigania haki za binadamu. Dr Martin luther jr alizaliwa tarehe 15 Januari 1929 mjini Atlanta, Georgia, Marekani. Alikuwa ni mtoto wa mzee Martin Luther king Sr. Ambaye pia alikuwa ni kiongozi wa kupigania haki za binadamu. Mnamo mwaka 1964 alitunukiwa tuzo ya Nobel ya Amani.Dr Martin Luther king Jr alifariki dunia tarehe 4 Aprili 1968 kwa kupigwa risasi.

KWA HABARI ZAIDI BONYEZA HAPA CHINI

No comments: