''... Mwanzoni walinifuata viongozi wa Serikali na kuniambia 'Mwalimu,nyumba unayokaa hivi sasa ni ndogo lazima tukujengee kubwa',lakini mimi nikawaambia kuwa mnataka kunijengea nyumba kubwa kwani mimi ni tembo?Sihitaji nyumba ya kifahari mie...''
Maneno hayo yalitamkwa na baba wa Taifa,Mwalimu nyerere.April 13,1999.Mwalimu alikuwa akizungumza wakati wa sherehe ya kukabidhiwa nyumba na JWTZ kijijini kwake Mwitongo,Butiama.Nyumba hiyo ni nzuri lakini si ya kifahari kama yalivyo Mahekalu ya Mbezi beach,capri point na kwingineko nchini.

No comments:
Post a Comment