HIVI SASA NI SAA

TAREHE

Tuesday, February 9, 2010

MAPENZI YA DHATI

Fatma na Ahmed ni walemavu wa nchini Iran ambao wameoana na kuishi maisha ya furaha na upendo wa dhati bila kujali ulemavu wao. Ni mfano wa kuigwa pia na watu wengine kwani wamedhihirisha kwa vitendo kile kiapo cha 'kupendana wakati wa raha na shida, kwenye uzima na ugonjwa'.

... Bwana Ahmed na Bibi Fatma wakipata kinywaji

... Mume akipiga pasi kwa kutumia mguu


...Hapa akiandika

... Wakipata msosi


... Akifanya usafi
Wametoka out



... Mke akimpulizia mumewe manukato


JE UMEJIFUNZA ?

No comments: