HIVI SASA NI SAA

TAREHE

Friday, January 1, 2010

MZEE KAWAWA AFARIKI DUNIA






HISTORIA FUPI YA MAISHA YAKE
Rashidi Mfaume Kawawa (27 Mei 1926 - 31 Desemba 2009) alikuwa mwanasiasa kutoka nchini Tanzania. Kuanzia tarehe 22 Januari, 1962 hadi tarehe 13 Februari, 1977 alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Alifuatwa na Edward Sokoine. Baadaye alikuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi.

Rashidi Mfaume Kawawa alizaliwa tarehe 27 February, 1926 katika kijiji cha Matepwende, Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, Tanzania. Alianza elimu ya msingi huko Liwale, Lindi mnamo 1941 - 1942 na kuendelea na masomo ya sekondari katika shule ya Dar es Salaam Secondary School.

No comments: