HIVI SASA NI SAA

TAREHE

Friday, January 1, 2010

LENGA IPASAVYO 2010,USIFANYE MAKOSA








Umejifunza nini mwaka uliopita?,najua mwaka 2008 uliweka malengo mengi,baadhi yametimia,baadhi yamefeli.Napenda kukupa ushauri uyaendeleze yale yaliyofanikiwa,yale uliyoshindwa kufanikisha hakikisha unachunguza ni wapi ulikosea.
Nakukuhakishia uwezo wa kufanikisha uliyoshindwa unao,kilichokufelisha ni njia ya kufanikisha.
Jiepushe sana na watu walio wepesi kukata tamaa,na jiunge na watu waliofanikiwa katika kile kitu ulichoshindwa,kuwa mtafiti yeye anafanyaje mpaka anafanikiwa,kisha mtumaini Mungu na songa mbele ukiwa na nia moja tu la kulikabili ulilochemka kulitimiza.I wish u all the best 2010

No comments: