HUYU JAMAA AMEZIKWA MAKABURI YA KINONDONI SHAMBA TAREHE 15/12/2009,KWA KUPEWA HESHIMA ZOTE TOKA KWA MASELA WENZAKE,ASUBUHI DAFTARI LA MCHANGO LILIKUWA LINAPITISHA VIJIWENI WAKIWA NA PICHA YA MAREHEMU, WAKIDAI JAMAA NDUGU ZAKE WAMESUSA KUMZIKA HIVYO WANAPASWA KUBEBA JUKUMU LA KUSHONA MWILI WA MAREHEMU NA KUENDESHA SUALA LOTE LA MAZISHI.
LAKINI BAADAYE MJOMBA WAKE ALIKUBALI NA DUA YA MAREHEMU IKAFANYIKA MSIKITI WA KINONDONI SHAMBA NA MSAFARA WA MAZISHI UKAANZA,HUKU NYIMBO ZA KIUNI ZIKITUMBUIZA KWA MASELA KUJIFARIJI (AINA YA MZIKI NI MCHIRIKU)
WAKATI HUO HUO MARAFIKI ZAKE WA KARIBU AMBAO WALIKUWA WAMELEWA CHAKARI,WALIKUWA WANAAPA WATACHUNGUZA NI KINA NANI WAMEFANYA UKATILI HUO ILI WAFUNGUE FAILI POLISI.
BONYEZA HAPA CHINI KUONA ZAIDI
http://zablonmacha.blogspot.com/
http://zablonmacha.blogspot.com/
JE WALISTAHILI KUFANYIWA HAYA?,HATA KAMA WALIKUWA HATARI EMAIL ME
No comments:
Post a Comment