HIVI SASA NI SAA

TAREHE

Tuesday, November 3, 2009

EVAREST



Mlima Evarest ni mlima mkubwa wenye kimo cha 8,848m juu ya UB. Ni sehemu ya safu ya Himalaya, kilele chake kipo mpakani wa Nepal na China (Tibet)

Watu wa kwanza wa kufika kwenye kilele waliku Edmund Hillary wa New Zealand na Sherpa Tenzing Norgay wa Nepal tarehe 29 Mei 1953

EDMUND PERCIVAL HILLARY

Alizaliwa 20 Julai 1919 na kufariki 11 Januari 2008 alikuwa mpelelezi kutoka New zealand aliyejulikana kwa kupanda milima mingi . Pamoja na Sherpa Tenzing Norgay alikuwa mwanadamu wa kwanza wa kufika kwenye kilele cha mlima Everest tar 29 Mei 1953

HABARI ZAIDI BONYEZA

http://en.wikipedia.org/wiki/mount_Everest.

No comments: