Alfred Nobel (21 Octoba 1833 - 10 Desemba 1896) alikuwa mhandisi na mwenye viwanda wa nchi ya Sweden. Mwaka 1867 aligundua jinsi ya kutengeneza baruti kali. Pia aliboresha utoneshaji wa mafuta. Akafaulu kiuchumi na kuwa tajiri sana kwa wakati ule, huku akiwa na wasi wasi kuhusu matumizi ya baruti aliyogundua kwa sababu aliona matumizi mabaya kwa ajili ya silaha. Katika hati yake ya wasia alianzisha Tuzo ya Nobel kwa ajili ya mafanikio ya kisayansi lakini kwa ajili ya amani duniani.
No comments:
Post a Comment