HIVI SASA NI SAA

TAREHE

Wednesday, October 27, 2010

KIBAKA ANAPOONA HURUMA


  • Juzi tarehe 22 Oktoba, katika mji wa York katika jimbo la Pennsylvania nchini Marekani kibaka mwenye bastola alimwamru jamaa mmoja aitwaye Larry Sanderson ampe kila kitu alichokuwa nacho.Larry akatoa waleti yake, simu ya mkononi, kichezeshi chake cha MP3 na sigara; na kumpa yule kibaka.
  • Kibaka yule (pengine baada ya kuona kuwa alikuwa amepata vitu kiduchu) alimwuliza Larry kama alikuwa amempa kila kitu alichokuwa nacho. Larry alimweleza yule kibaka kwamba ni kweli alikuwa ametoa kila kitu alichokuwa nacho kwani yeye hana makazi (a.k.a homeless).
  • Yule kibaka aliguswa na habari hizi na alimrudishia Larry vitu vyake vyote na kuondoka zake. Ubinadamu!

HABARI KAMILI

YORK, Pa. (CBS/AP) Police in Pennsylvania say an armed robber gave back everything he stole from a homeless man after learning he lives at a shelter.
The York Dispatch reported Thursday that 22-year-old Larry Sanderson was outside the York Rescue Mission on Wednesday night when a man displayed the handle of a revolver and told him to empty his pockets.
The paper says Sanderson turned over his wallet, cell phone, MP3 player and cigarettes.
When the armed man asked Sanderson if that was all he had, Sanderson explained he lives at the shelter.
Police say the robber replied, "I can respect that," returned the man's property, and walked away.

2 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...
This comment has been removed by the author.
Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Bwana Zabloni;

Naamini kwamba post hii (na zingine nimeziona hapa) umeikopi kama ilivyo kutoka katika blogu yangu. Sina tatizo na hili.

Hata hivyo jaribu sana kujifunza jambo moja. Unaponakili kazi ya mtu jaribu sana kutoa shukrani kwa kutaja ulikoitoa. Mimi ni mwanataaluma na hili ni jambo la muhimu sana.

Jifunze tabia hii na itakusaidia sana katika maisha yako!

http://matondo.blogspot.com/2010/10/huyu-mwizi-kanifurahisha-kwa-kuonyesha.html