Pharos ya Aleksandria ulikuwa ni mnara wa taa mjini Aleksandria ya Misri,hapo kale ilihesabiwa kuwa ni moja kati ya maajabu ya 7 dunia. Kimo chake hakikujulikana kikamilifu lakini kilikuwa kati ya mita 110 na 150.
Mnara huu ulijengwa kwenye kisiwa kidogo kilichoitwa ''Pharos'' kilichokuwa mita chache mbele ya mwambao wa Aleksandria. Baadaye mnara uliitwa kwa jina la Kisiwa
Ujenzi ulitokea mnamo mwaka 282 KK. Kwa karne nyingi Pharos ilikuwa kati ya majengo marefu duniani. Uliporomoka baada ya kutokea matetemeko ya ardhi yaliyotokea Aleksandria 1303 na1323
No comments:
Post a Comment